uhujumu!!!

Thursday, April 13, 2006

tuzo za KBW-2006

Yamkini mashabiki wa toleo hili la Uhujumu wameamua
kuliteua kama mojawapo ya zile blogu ambazo wanaKBW
watazipigia kura.
Nawashukuru nyote ambao mmefurahia uhujumu na pia
kwa wale ambao ni mara ya kwanza kuitembelea uhujumu.

Mimi kama mhujumu, nitazidi kuangazia mambo ambayo
yanaadhiri mila desturi na mienenendo yetu sis waafrika.
Natumai kwamba mtaipigia uhujumu kura kama
"blogu inayopendeza isiyo ya kimombo, ama ukipenda, kiingereza."

Nanyi wanaKBW nawasihi mpige kura kwa wingi.
Ni haki yako kama MwanaKBW kupiga kura yako.

Na kwa wale wengine ambao wameteuliwa, nawapa
hongera na kuwatakia mema.

Kwa mara ingine, shukrani, na pigia uhujumu kura

2 Comments:

At 3:50 PM, Blogger Shiroh said...

Asante sana Mhujumu kwa kutukumbusha kwamba tupige kura. Nakutakia kila la heri katika uchaguzi

 
At 6:44 PM, Blogger mhujumu said...

eeh dada shiroh..
natumai hii ni mara yako ya kwanza kuyatoa maoni yako kwenye blogu hii.
karibu sana

 

Post a Comment

<< Home